Kama una ka uwezo na huna vidonda vya tumbo tumia dozi hii hapa. kila asubuhi pata juice ya carrot + green pepper + tango + spinach = 1glass. Then juice ya malimao katika mtiririko ufuatao. Siku ya kwanza 8, siku ya pili 16, siku ya tatu 24, siku ya nne 32, siku ya tano 40, siku ya sita 40, siku ya saba 32, siku ya nane 24, siku ya tisa 16 na siku ya kumi 8. baada ya siku kumi utupe matokeo. Mimi nimetumia siku ya kwanza nilikuwa na kilo100 siku ya kumi nikawa na kilo70. be blessed.