Nitapataje PUK ili ku unblock airtel simcard yangu?

Nitapataje PUK ili ku unblock airtel simcard yangu?

BongoLogik

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
260
Reaction score
44
Sina kumbukumbu yoyote ya PUK, jana nimetoroka kazini nikaenda mlimani city nikakuta bonge la nyomi, nikipiga customer care haipatikani! Kuna jamaa yangu kaniambia ipo jinsi ya kupata PUK bila kwenda kupanga foleni au kuwasiliana na customer care ila kasahau, kwa anaejua naomba anisaidie.
 
Kwanini ulitoroka kazini? au hujui kuwa line ime- lock kwa sababu hiyo?
 
Sina kumbukumbu yoyote ya PUK, jana nimetoroka kazini nikaenda mlimani city nikakuta bonge la nyomi, nikipiga customer care haipatikani! Kuna jamaa yangu kaniambia ipo jinsi ya kupata PUK bila kwenda kupanga foleni au kuwasiliana na customer care ila kasahau, kwa anaejua naomba anisaidie.

piga 100 ufate maelekezo
kumbuka kunabali nambari 17 (sikumbuki idadi vzr ila zipo nyuma ya line) itafikia hatua utaambiwa uziandike kisha unatajiwa Puk no hivyo unatakiwa kuwa na pen na karatas uwe fasta kuziandika.nmekula sana buku 5 kwa kazi hiyo
 
pga 100 ufate maelekezo
kumbuka kunakili nambari 17
(sikumbuki idadi vzr ila zipo
nyuma ya line) itafikia hatua
utaambiwa uziandike kisha
unatajiwa Puk no hivyo unatakiwa
kuwa na pen na karatas uwe fasta
kuziandika.nmekula sana buku 5
kwa kazi hiyo
 
pga 100 ufate maelekezo
kumbuka kunakili nambari 17
(sikumbuki idadi vzr ila zipo
nyuma ya line) itafikia hatua
utaambiwa uziandike kisha
unatajiwa Puk no hivyo unatakiwa
kuwa na pen na karatas uwe fasta
kuziandika.nmekula sana buku 5
kwa kazi hiyo

mkuu hiyo namba 100 inazingua sana ni ngumu kupata watu wa customer care, nimejaribu sana sijapata kama unayo namba nyingine ya customer care ya airtel tafadhali nisaidie.
 
Laiti ningejua ni laini gani inayohitaji PUK! Sasa kwa kuwa ni siri yako basi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom