Nitapataje nyumba ndogo anidekeze?

Ongea na Mzigua90 akuletee mtoto wa kitanga🤣🤣🤣
 
Inakuwaje mtoto wa kiume unatumia avatar ya kike?
 
Hahahaha hivi mbona kama mashtaka kutuhusu yamekua mengii.
Ni utandawazi tu vijana wanashindwa kufa nayo moyoni.

Wanawake wengi wa kisasa wanataka ndoa na siyo mume.

Anayejuwa maana ya ndoa na amefunzwa kwao hawezi kuwa mjinga hivi.

Jiulize hao nyumba ndogo wanaowapa mahaba waume za watu kwani siyo wanawake?

Hata issue za Baba kula house girl haiwezi kuwepo mke akijuwa nafasi yake kama mke hakiwezi kutokea kitu kama hicho.
 
One of the best comments I have ever seen in the world
 
Pita na mama mwenye nyumba yule jirani ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…