Ongea na Mzigua90 akuletee mtoto wa kitanga🤣🤣🤣Habari wana Jf.
Wife amekuwa mkali sana siku hizi yupo busy na watoto hana muda na Mimi hata ninapo mhitaji pamoja na kumtimizia kila atakacho.
Mechi mpaka watoto walale yaani Nina mawazo tele sijui hata nitapataje nyumba ndogo inipunguzie mawazo bila yeye kujua.
Lakini hili litoto limeshindikana😂Vingi....
Pesa, care, kupendwa, kutmbw vizuri, zawadi
Kwakifupi ni vingi hadi wenyewe hatujui tunataka nini
Unataka kuwa small house mrembo?Mbona wanawake tupo wengi tu..,
Umempangusa kachala dahMmmh bora kufa na nyg
Maisha kusaidiana ndugu yangu....Unataka kuwa small house mrembo?
Inakuwaje mtoto wa kiume unatumia avatar ya kike?Ndoa zetu hizi ni shida kweli, unakuta umechoka kupambania familia...lakini hupati hata meseji ya nimekumiss....ili utamani kuwahi kurudi nyumbani...ukifika yaani ni kama tu dogo fulani karudi...kitandani kila mtu upande wake...ukigusa huo moto utakaoupata...
Nje huku yaani ukikonyeza tu macho watoto wabichi wanakulilia...unawaza kutoka unaona huruma.
Ni utandawazi tu vijana wanashindwa kufa nayo moyoni.Hahahaha hivi mbona kama mashtaka kutuhusu yamekua mengii.
One of the best comments I have ever seen in the worldNi utandawazi tu vijana wanashindwa kufa nayo moyoni.
Wanawake wengi wa kisasa wanataka ndoa na siyo mume.
Anayejuwa maana ya ndoa na amefunzwa kwao hawezi kuwa mjinga hivi.
Jiulize hao nyumba ndogo wanaowapa mahaba waume za watu kwani siyo wanawake?
Hata issue za Baba kula house girl haiwezi kuwepo mke akijuwa nafasi yake kama mke hakiwezi kutokea kitu kama hicho.
Pita na mama mwenye nyumba yule jirani akoHabari wana Jf.
Wife amekuwa mkali sana siku hizi yupo busy na watoto hana muda na Mimi hata ninapo mhitaji pamoja na kumtimizia kila atakacho.
Mechi mpaka watoto walale yaani Nina mawazo tele sijui hata nitapataje nyumba ndogo inipunguzie mawazo bila yeye kujua.