Nitapataje nyumba ndogo anidekeze?

Ndoa/Mahusiano na hekaheka zake!!
Pole sana Mkuu bila shaka Ushapata mwongozo
 
Nawe kuwa busy na watoto,mtapatana na kuelewana hapo.
 
Lea watoto acha excuses kwani wakati mnaoana hamkujua kuwa watoto watakuja?

Hamkujipanga kukabiliana na hiyo hali hususani suala la game.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukiona wadosi duka halijafunguliwa mpaka saa 3 asubuhi ndio ujuwe muda wao wa kuchapana na kubinuwana, watoto wanakuwa wameshaenda shule.
 
Ndoa zetu hizi ni shida kweli, unakuta umechoka kupambania familia...lakini hupati hata meseji ya nimekumiss....ili utamani kuwahi kurudi nyumbani...ukifika yaani ni kama tu dogo fulani karudi...kitandani kila mtu upande wake...ukigusa huo moto utakaoupata...


Nje huku yaani ukikonyeza tu macho watoto wabichi wanakulilia...unawaza kutoka unaona huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…