Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,285
- 1,853
Wee pata small house bwana fasta au nikuunganishe na mrembo mmoja matata azichezee mbupu hizo ufurahiHabari wana Jf.
Wife amekuwa mkali sana siku hizi yupo busy na watoto hana muda na Mimi hata ninapo mhitaji pamoja na kumtimizia kila atakacho.
Mechi mpaka watoto walale yaani Nina mawazo tele sijui hata nitapataje nyumba ndogo inipunguzie mawazo bila yeye kujua.
Habari wana Jf.

Nguva jike, nilitegemea unataka nguva dume!Habari wana Jf.
Wife amekuwa mkali sana siku hizi yupo busy na watoto hana muda na Mimi hata ninapo mhitaji pamoja na kumtimizia kila atakacho.
Mechi mpaka watoto walale yaani Nina mawazo tele sijui hata nitapataje nyumba ndogo inipunguzie mawazo bila yeye kujua.
Swali lakizushi....Nguva jike, nilitegemea unataka nguva dume!
ndio nimeshangaa hata Mimi mkuu,Swali lakizushi....
Ivi mwanaume uliye kamilika unaweza jiita nguvu jike? ....
[emoji2]Swali lakizushi....
Ivi mwanaume uliye kamilika unaweza jiita nguvu jike? ....
Msela nipo hapa babyMbona wanawake tupo wengi tu..,
Msela nipo hapa baby
Kwani nyie hasa mnatakaga niniMmmh bora kufa na nyg
✍️✍️Mbona wanawake tupo wengi tu..,
Vingi....Kwani nyie hasa mnatakaga nini