Godoro la kioo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 436 Reaction score 934 Jul 18, 2026 #1 Wakuu kuna hizi nyimbo zenye asili ya kenya maarufu kama katitu Nina shida nazo nilikuwa nazisikia zamani lakini saivi sizikii tena mbaya zaidi hamna hata moja nayokumbuka nazipataje je mtandaoni zipo kweli
Wakuu kuna hizi nyimbo zenye asili ya kenya maarufu kama katitu Nina shida nazo nilikuwa nazisikia zamani lakini saivi sizikii tena mbaya zaidi hamna hata moja nayokumbuka nazipataje je mtandaoni zipo kweli
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,876 Reaction score 193,819 Jul 18, 2026 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
M mzee wa mapesa Member Joined Jul 11, 2015 Posts 76 Reaction score 47 Jul 18, 2026 #3 0694 972582 nicheck hapo