Nitapataje Ndege ya kwenda Tabora?

Nitapataje Ndege ya kwenda Tabora?

Dunia imetuacha miaka 50 nyuma, kama hadi sasa kuna baadhi ya mikoa haina usafiri wa ndege.
 
Mkuu umedanganya, hakuna precision inatua Tabora!
Tabora hakuna ndege ya abiria!
He mpaka May 2016 ilikuwepo hebu tueleze imesimama lini tena?!?!?! Mtoa mada unajua mambo ya mtandao kwa Tanzania naona km tuko nyuma. Hebu wapigie namba za simu zifuatazo:
0787888408-9/ 0787888417/ +255222168000/
Email; pwreservations@precesionairtz.com
All the best.
 
Precision air na air tanzania zinapita tabora jumatatu,jumatano ijumaa na jumapili nenda ofisini kwao! Nauli kati ya 500,000 to 650,000 return!
 
Back
Top Bottom