Nitapataje Ndege ya kwenda Tabora?

billduke

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
860
898
Wakuu naomba kuulizia Kama kuna mtu anafahamu Kama kuna ndege yeyote inayoenda Tabora...nimejaribu kucheki online Precioun hamna.
 
ATC ndio inapita tabora ikiwa njiani kwenda Kigoma sina uwakika na precision kama wanapita
 
Huu muda ungepanda basi ungekua ushafika!!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Ndugu zangu, nina uhakika na ninachozungumza. Nimepanda PW hivi karibuni na ilitua Tabora (Nimeambatanisha ticket). Precision huwa inaenda Kigoma (kupitia Tabora) kila Jumatatu, Jumatano, Ijumaa na Jumapili. ATC pia ratiba zake ni hivyo hivyo ila sina hakika kama inatua Tabora na haipo reliable sana.
Capture_PW_TKQ.JPG
 
Back
Top Bottom