ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 8,829
- 2,000
Najua mjini Hapa hamuwezi kushindwa kunipa maelekezo kuhusu nitakapopatia sticker sijui ndo niziite wallpaper zote na za wasanii kabisa na ikibidi na za wachezaji nibandike kwenye ukuta sehemu ya biashara ya movie na banda la mpira
Kama hizo hapo kwenye picha..nataka nyingi Sana zijae ukutani
Kama hizo hapo kwenye picha..nataka nyingi Sana zijae ukutani
