Nitapata wapi soko zuri la mlenda(bamia)?

kamba boy

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
205
Reaction score
370
Habari?

Kama kichwa kinavojipambanua mimi nalima bustani za zao la bamia lakini kikwetu kwetu nahisi napata faida kidogo ambapo kwa ndoo huwa 10,000/=

Naomba kama kuna sehemu inauzwa zaidi ya hiyo bei nijuzwe maana baada ya wiki 1 naanza kuchuma.

Karibuni mimi nipo mkoa wa Songwe
 
Alaaa, hiyo bei mbona ni kubwa sana!

Bei ya ndoo kwa elfu kumi ni bei ambayo watu wanachekelea ukienda Pwani

Bei huwa inashuka mpaka elfu mbili kwa ndoo
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] duh noma sana
 
Mkuu nenda nazo sokon , piga mafungu ,fungu moja 1000/= piga mafungu 15 tu kwa kila doo so utapata 5000 zaid

Hio ni kutokana 1000\= watu wataiona ndogo na itakua affordable kwa watu wengi tofaut na jumla ambayo lazima upate watu wanaotaka kutumia kwa ajil ya business
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Kwanza kipindi hiki bamia wakulima wanauza 7000 kwa ndoo na tunashukuru mungu, maana bei kama 3000 au 4000 ndipo bei huwa inasimama hapo muda mwingi
 
Yan songwe auze fungu buku wakati Hali ni sawa na mbeya then fungu ni 200/= fedha halali kabisa ya Tanzania na bamia zinakuwa za kutosha hadi watu 7.
 
Duuh asa kwann msibadilishe zao mi naona kama hilo zao linawanyonya sana
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] watu mna masihara
 
Duuh asa kwann msibadilishe zao mi naona kama hilo zao linawanyonya sana

Bamia ni zao ambalo unaanza kula hela yake mapema, wiki ya saba unaanza kuuza michumo. Inakuwa na faida kipindi nataka nianze kuchuma hela niliyowekeza mapema tofauti na mazao kama muhogo ambao wenyewe unaanza kula hela yake si chini ya miezi tisa au ufuta ambao kula hela yake si chini ya miezi mitatu.

Bro kipindi cha Magufuli ni balaa, tafiti shughuli zinazolipa kipindi hiki ukiachana na kilimo cha mazao na tena ni machache. Vyuma vimekaza!
 
Back
Top Bottom