Nitapata wapi plastic surgeon hapa Tanzania?

MNhhh sidhani kama mimi ndio sikuelewi, wewe ndio hunielewi sababu umeamua/deliberately kutonielewa,tuendelee tu nitakufundisha taratibu ku conform kwenye JF family
 
MNhhh sidhani kama mimi ndio sikuelewi, wewe ndio hunielewi sababu umeamua/deliberately kutonielewa,tuendelee tu nitakufundisha taratibu ku conform kwenye JF family

JPM kawafanya watu wadate ile mbaya!
 
Kuna clinic ya cloud9 ipo pale dar free market..tho sijui kama wanafanya hiyo huduma 100% ila jaribu kuwaulizia maana nahisi wanahusika kidogo

Kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa washanipa nilichokua nakitaka. Skuhitaji ushaur wa whether nifanye surgery au nisifanye...
Mi ndo nimeishia hapa. Hamtaiona koment nyngne tna...endeleeni kuichafua character yng! Ciao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What really happened buddy?

Are you totally incapable of embracing those scars?
 
Mkuu Samahani,Ulifanikiwa Katika Hili Uliloomba Msaada?
Nna Tatizo Kama Lako,Kama Ulifanikiwa Tafadhali Nijulishe Wapi,Na Gharama Zipoje,Ikiwezekana Kama Ntampata Muhusika Ili Iwe Rahisi.
 
Hawa washanipa nilichokua nakitaka. Skuhitaji ushaur wa whether nifanye surgery au nisifanye...
Mi ndo nimeishia hapa. Hamtaiona koment nyngne tna...endeleeni kuichafua character yng! Ciao

Sent using Jamii Forums mobile app
bila shaka ulifanikiwa mkuu hilo tatizo lako limepata wengi ni rahisi kuongelea jambo kwa dhihaka kama jambo halijakupata,tupe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…