mwanaNjilo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 277
- 196
Kugeuzwa mbuzi! How mkuu?Unataka ugeuzwe mbuzi, shauri lako usije sema sikusema, Najivua mapema mimi mwanaJF
Cna uhakika! The least I know, mwishoni mwa mwaka 2017au mwaka jana mwanzon km cjakosea...CCBRT waliendesha campaign ya kuwafanyia plastic surgery akina mama na watoto under 12yrs ambao walkua na makovu yalokakamaa yaliotokana na kuungua kwa moto. Nadhan hawakulipia chchte kwajil ya huduma hii, au km walilipia ilikua ni less than robo ya gharama inayotakiwa!Hivi tanzania hizi huduma zimefika??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Laser skin resurfacing. Kwan hii inahusiana na kubandika papuch kaboosi??
Kuna waropokaji humu, jambo hawana ujuzi nalo lakini wanajibu tu ili nao waonekane wame comenti.Laser skin resurfacing. Kwan hii inahusiana na kubandika papuch kaboosi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia nimejiuliza hili swaliHivi tanzania hizi huduma zimefika??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani JF siku hizi hivi vitoto au sijui vizee vipo desperate vinakera...hata ukisoma uzi hauflow.Kuna waropokaji humu, jambo hawana ujuzi nalo lakini wanajibu tu ili nao waonekane wame comenti.
HeheheYaani JF siku hizi hivi vitoto au sijui vizee vipo desperate vinakera...hata ukisoma uzi hauflow.
Sana aisee, mtu anaulizia plastic surgery, hujui anahitaji kwa ajili ya tatizo gani, kwa sababu mtu alishaona kuna mtu alifanya ya papuch basi anaona kila plastic surgery ni ya papuch, poor thinking capacity inatugharimu wabongo wengiYaani JF siku hizi hivi vitoto au sijui vizee vipo desperate vinakera...hata ukisoma uzi hauflow.
I will! Ila km una rafk ktk industry ya afya, mtumie akutaftie jbu la uhakika. Benefit frm a frndship!Nafuatilia huu uzi, likipatikana jibu nitag mkuu.
Info zikufkie ppt ulipo: Mwak huu mwez wa nane ndo fourth bday anniversary yng tngu niachane na foolish age (adolescence), meaning that I'm on my late 20s. Y niukimbie uzee?? Kwan nishaufikia??!Embrace uzee mkuu...
Info zikufkie ppt ulipo: Mwak huu mwez wa nane ndo fourth bday anniversary yng tngu niachane na foolish age (adolescence), meaning that I'm on my late 20s. Y niukimbie uzee?? Kwan nishaufikia??!
In fact, skuwah kufikiria kuhusu plastic surgery mpk nilipokutana na nurse alienipiga nyuz kwa kisiran mwak jana mwez wa12!
Who knows? Pengne na ww utahitaj hii huduma any time suun! Hujafa hujaumbika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Men and women both respond to physical attraction. In fact, physical attraction is the first level of attraction (bitter truth!)...All the bast,
jua tu watu wanaoanzia na plastic surgery moja hawakomei hapo,soon after surgery utaanza kuona pua yako sijui sikio linahitaji plastic surgery
Men and women both respond to physical attraction. In fact, physical attraction is the first level of attraction (bitter truth!)...
Labda umefurahishwa na mwnamke mwezio alichonifanyia...jeraha la kusafisha yy kaenda litia nyuz (afu at least angefanya at best, rather it was at its worst!)..treatment plan ya doctor wke ilikua ni kusafisha na ku dress jeraha!
Afu naomba uelewe, LASER SKIN RESURFACING inawez kutumiwa na mtu mweny acne (long-term skin disease)...as long as our health servants can make mistakes on their duty, I can't see why it irritates u for anybody to correct their mistake, hasa ukizingatia sikuzaliwa na hili kovu alilonipa!
Sent using Jamii Forums mobile app
poleInfo zikufkie ppt ulipo: Mwak huu mwez wa nane ndo fourth bday anniversary yng tngu niachane na foolish age (adolescence), meaning that I'm on my late 20s. Y niukimbie uzee?? Kwan nishaufikia??!
In fact, skuwah kufikiria kuhusu plastic surgery mpk nilipokutana na nurse alienipiga nyuz kwa kisiran mwak jana mwez wa12!
Who knows? Pengne na ww utahitaj hii huduma any time suun! Hujafa hujaumbika!
Sent using Jamii Forums mobile app