washonesko
Member
- Jun 25, 2016
- 59
- 48
Natafuta P. O. P powder anayejua unakopatikana anijuze na bei unauzwaje.
Namba yangu 0717983320
Namba yangu 0717983320
Unga wa P. O. P awana wana za bendeji, duka gani kuna unga wake niufuateNenda maduka ya dawa zinapatikana
Bei inaanzia 1500 kwa pakt