wanaJF naomba kusaidiwa kufaham duka au mtu anayeweza kuniuzia OS X 10.5 au mpya zaidi ili niweke kwenye macbook yangu. nimetafuta online lakini napata zinazouzwa tu , na mimi siwezi kununua online, kama kuna mtu anafahamu inapopatikana online kwa bure naomba anifahamishe pia. naombeni msaada wenu tafadhali. AHSANTENI SANA.
Ahsante sana. lakini inadownload kwa mfumo wa .exe ambao unafanya kazi kwenye windows badala ya .dmg ambao ndio unaofanya kazi kwenye mac.
- Ingia hapa: mac os x10 untouched torrent
- Karibu
Kama ni .exe hapo utakuwa ume download file siyo sahihi. Hapo inatakiwa udownload ISO file. Nitakuwekea direct download link baadaeAhsante sana. lakini inadownload kwa mfumo wa .exe ambao unafanya kazi kwenye windows badala ya .dmg ambao ndio unaofanya kazi kwenye mac.
sawa, ninakusubiri.Kama ni .exe hapo utakuwa ume download file siyo sahihi. Hapo inatakiwa udownload ISO file. Nitakuwekea direct download link baadae
Mac OS X 10.8 Mountain Lion ISO Untouchedsawa, ninakusubiri.
here is a untouched copy of Mountain Lion in the ISO format. It will require a dual layer dvd to burn!
This iso was made by opening the golden master "InstallESD.dmg" in disk utility and converting it to a cd/dvd master. Macs use the extension ".cdr" for raw image files so I then changed it to ".iso". Now it is completely compatible to be burned with any iso image burner available! To burn on a mac in disk utility simply change the extension back to ".cdr".
InstallESD.dmg sha1: E5DD2BF5560033CADE7DD7D7DA5CEEC49F701B0E
InstallESD.iso sha1: B48FBA8054A252BACABFD8F5B10F657297156CF5
Currently unatumia nini? unaweza kudownload OS X 10.9 Mavericks kutoka kwao bure mkuu.
Mac OS X 10.8 Mountain Lion ISO Untouched
File: InstallESD.iso
Size: 4754923520 bytes
Modified: Wednesday, August 15, 2012, 12:15:56 PM
MD5: 718B15C22B3285956437A299E5251E7D
SHA1: B48FBA8054A252BACABFD8F5B10F657297156CF5
Download Link: Mac OS X 10.8 Mountain Lion ISO Untouched
KaribuCode:here is a untouched copy of Mountain Lion in the ISO format. It will require a dual layer dvd to burn! This iso was made by opening the golden master "InstallESD.dmg" in disk utility and converting it to a cd/dvd master. Macs use the extension ".cdr" for raw image files so I then changed it to ".iso". Now it is completely compatible to be burned with any iso image burner available! To burn on a mac in disk utility simply change the extension back to ".cdr". InstallESD.dmg sha1: E5DD2BF5560033CADE7DD7D7DA5CEEC49F701B0E InstallESD.iso sha1: B48FBA8054A252BACABFD8F5B10F657297156CF5
ahsante. Nitaanza kudownload.
sawa nitakujulisha Mwl.
- Ukimaliza ku_download nijulishe ili nifute CATCH yake kwenye account yangu
- Karibu