habari zenu wandugu, kuna laptop (macbook pro 15'') ambayo ni first generation na ina run os x 10.4.11, ambayo huwezi kuupgrade tena hadi u purchase 10.5. naomba mnisaidie kama naweza pata mtu anayeuza hizo package au kama ni kudownload basi iwe free kwa sababu siwezi ki nununua online. nipo Mwanza kwa sasa hivi. ukiniPM nitakupa mawasiliano zaii. Ahsanteni kwa ushirikiano wenu.