Nitapata wapi na ntazitambuaje USB charger Original?

Dah mi nishanunua almost tano hazichukui round zinakufa nadhani hamna original zote zitakuwa feki
 
Mtoa mada sijamuelewa anamaanisha waya ama kichwa cha chaja? Maana mie pia niliteseka sana ila baada ya kuamua rasmi kutafuta USB ya maana nilipata mzigo toka Nairobi OG sio takataka za Kariakoo!

Hizo mambo ziko Amazon ni brand za marekani hio nakalia nakunja nafanya vyovyote vile kitu iko makini mwezi wa sita huu!
 
watakuuliza inaitwaje? watajie Jina muraaaa waskie
 
"Kin Uale" ni USB Type - C inachaji kama bugatti
hilo jina tu mimi hoiiiii...kuna mtu hapo juuu nilimwambia napenda vitu vya majina ya hv akanambia na sifa sjui kama mwanamke wakati hajui Jinsia yangu..

ungekua jirani yangu nikija area hyo yako ningepita nayo aseee..na hv ni type C daily ungelia lia 😛
 
Rejea qoute yangu...inaitwa "Kin Vale" iko amazon
 
Nunua iliyokuja na cm ALWAYZ ziko vyema mfano ipo vizuri sana ya TECNO L9+ wana fast nikimanisha FAST CHARGER haswa
 
Nunua iliyokuja na cm ALWAYZ ziko vyema mfano ipo vizuri sana ya TECNO L9+ wana fast nikimanisha FAST CHARGER haswa
yeah ni kweli upo sahihi...tecno L9+ CHARGER YAKE NI FAST HASWA...Ila tu ununue simu kwenye maduka ya kueleweka la sivyo utanunua simu ukutane na chaji ya kawaida maana mtindo wa kubadilisha Chaji zinazokuja na simu siku hizi ili kufidia cost za uuzaji ni mkubwa sana.
 
Kwenye pitapita zako uliwai kukutana na moja kati hizi!?
 
Oraimo hyo hapo zijajua kama zipo fek zake ndo maana nmekwambia ntakudirect kwa mtu nnayejuana naye kwa heshima yangu utapata og ila kubal kuingia gharama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…