scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,894
- 5,803
Kariakoo kama unahitaj nambie nkuunge kwa mtu nnaye famiana naye maana yke nkimwambia n jamaa yangu hyo lazma akutaftie kitu konkhizo oraimo zinapatikana wapi mkuu
So rahis mkuu nyingi zinakuwa za bei cheeunaweza ukatoa hata 30000 na ukapewa bomu ndio maana tunapeana ujanja
kama upo Dar njooo ubungo stand ya mwendokasi nikuletee ORAIMO kama umeidhamiria ORAIMO ila ukinambia nikuletee USB nzuri nayoitumia mimi..sitokuletea ORAIMO...hizo oraimo zinapatikana wapi mkuu
ni kweli...upewe ORIGINAL utrudi lini sasa?unaweza ukatoa hata 30000 na ukapewa bomu ndio maana tunapeana ujanja
usimkaririshe mwenzako..we ngoja aende akutane na kina Oraimo wa kichaga,kisukuma,kihaya ashindwe elewa Oraimo yupi anatakiwa... 😂 😂 😂Kanunue oraimo, ukiweza nunua na powerbank yake... ufurahie maisha, maana siku hizi charger og ni mchongo kuliko kiwanja...! 😂😂😂 ila hakikisha imeandikwa oraimo
ORAIMO = 10,000unauza sh gapi mkuu
Isio na jina hii ni brand newORAIMO = 10,000
NOKIA = 10,000
AMAZON = 10,000
isiyo na jina = 15,000(hii ndo naitumia mimi) naipendea sifa yake ya Urefu na U speed wa kuchaji .
Yeah haina muda mrefu sokoni ila utendaji kazi wake ni wa KutukukaIsio na jina hii ni brand new
vitu vyenye majina ya ajabu ajabu kama hivi ndio Beest product zangu...mimi huwa Brand inayotumiwa na kila mtu hata kama ni nzuri huwa Siichukui,natakaga vitu unique kama hivi.View attachment 1100443View attachment 1100445
Pia unaweza kutafuta hizi accessories zinaitwa UGREEN ni best products hadi AMAZON zipo, zimekidhi viwango vyote vya ubora wa mashirika ya kimataifa kama FCC, etc. Pia bei yake nzuri.
Kwahyo nikifka shop nasema nipe USB isio na jinaYeah haina muda mrefu sokoni ila utendaji kazi wake ni wa Kutukuka
duuuh we jamaa lazma utakuwa unamiliki kiwandavitu vyenye majina ya ajabu ajabu kama hivi ndio Beest product zangu...mimi huwa Brand inayotumiwa na kila mtu hata kama ni nzuri huwa Siichukui,natakaga vitu unique kama hivi.
Mtu ukisema ukatafute chaji yangu utazunguka k.koo nzima huipati..earphone ndio kabisaaa...Simu ndio natumia zenye majina kama makabila ya wachina.
Yep! Kitu kinaweza kuwa na jina la ajabu kikawa original. Ebu sema Ugreen uliwai kuwa nayo?vitu vyenye majina ya ajabu ajabu kama hivi ndio Beest product zangu...mimi huwa Brand inayotumiwa na kila mtu hata kama ni nzuri huwa Siichukui,natakaga vitu unique kama hivi.
Mtu ukisema ukatafute chaji yangu utazunguka k.koo nzima huipati..earphone ndio kabisaaa...Simu ndio natumia zenye majina kama makabila ya wachina.
Wewe nae masifa yamezidi kama ni mwanaume jiangalie au jitadhimini upya.vitu vyenye majina ya ajabu ajabu kama hivi ndio Beest product zangu...mimi huwa Brand inayotumiwa na kila mtu hata kama ni nzuri huwa Siichukui,natakaga vitu unique kama hivi.
Mtu ukisema ukatafute chaji yangu utazunguka k.koo nzima huipati..earphone ndio kabisaaa...Simu ndio natumia zenye majina kama makabila ya wachina.
sijawahi na ndio kwanza naiona kwako kama sio kule Amazon!!Yep! Kitu kinaweza kuwa na jina la ajabu kikawa original. Ebu sema Ugreen uliwai kuwa nayo?
umejiskiaje?Wewe nae masifa yamezidi kama ni mwanaume jiangalie au jitadhimini upya.
Sifa utafikiri hizo product unatengeneza wewe mwenyewe.
Hahaha! Leta hela nikuuzie uendelee kuwa unique!sijawahi na ndio kwanza naiona kwako kama sio kule Amazon!!
similiki kiwanda mkuuu...kila mwezi wachina wananletea dukani NEW BRANDS ambazo hazipo on market tuziuze..na ndio wanaonleteaga makorokoro ya ajabu ambayo huwezi ikuta popote labda uwe na Ndugu anauza Accessories kwa JUMLA ndio utamkuta navyo..ila kama huna Usitegemeee...kuzipataduuuh we jamaa lazma utakuwa unamiliki kiwanda
huwezi niuzia kitu ya Phone & computer Accessories hata siku 1 mkuuu...ni sawa na kumuuzia mama ntilie Chakula..niko unique Tyr nikiwa na tamaa ntakua na Charger ngapi sasa??Hahaha! Leta hela nikuuzie uendelee kuwa unique!