Nitapata wapi mkopo wa vitu vya ndani?

Nawaza Tu.
Mleta mada ni mkopaji maarufu. Hata hivyo vitu anavyodai vimeibiwa ni alikopa fedha akanunua kashindwa marejesho wenye pesa zao wamekuja kusafisha sebule.

Mwizi aibe TV,friji na jiko kwamba hapo nyumbani mke na mtoto walikuwa wapi
Vinginevyo aelezee ilikuwaje vikaibiwa, hata mimi nawaza kama wewe. Yawezekana jamaa wa Oya wamefanya mambo anasingizia kaibiwa
 
Mtoa mada anachungulia tu uzi kwa mbali πŸ˜‚
Ila shemeji... πŸ™Œ
 
Hapo tatizo ninaloliona huna mke, piga chini oa anaekubaliana na kila hali.
 
Zungukia page za used items na uhakika utapata vyote kwa bei kitonga sana. TV 32" kwenye used unaipata hadi kwa laki na nusu.

Jiko elfu 30 hukosi la gas ndogo lile.

Friji pia andaa laki 2 na nusu unapata zuri tu.
Vilevile walivyomuibia atakutana navyo..bora akopesgwe..wapo wauzaji wanakopesga kidogo kidogo. Naonaga mitandaoni, wanakuletea hadi home
 
Huyo ni mkeo kweli au unajilazimisha kuwa naye? Unaishi na mke wa mtu muache aende kwa mume wake
 
Mke ana taka kukimbia kisa TV,friji na jiko asee jitathimini Red frag simple kama hizi umeshindwa ku master
 
Mwache huyo mwanamke aende zake utagundua hata hivyo vitu huvihitaji, just enjoy life.
 
Taratibu!
Mkeo anapenda kuangalia tv so right now anaboreka anataman aende kwao kisa tv haipo imeibiwa.
Hiyo inamaana mkeo huwa anashinda nyumban so ilipoenda tv, friji na vitu vingne anapajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…