Nitapata wapi mkopo wa milioni 3?

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
799
Wana JF, tafadhari niambieni nitapata wapi, na kwa masharti gani mkopo wa milioni 3, collateral yangu ni gari yenye thamani ya tsh 8 millioni? marejesho kwa mwezi hadi miezi 10 PIA,

JE kuna mtu anaweza nikopesha gari used but in good condition; iPSUM 1998/9/2000, suzuki vitara 1997/8/9-5 doors, MARK II GX100-4s BEI ISIZIDI 4M-5M, then nitarejesha kila mwezi kwa mwaka 1 (miezi 12) yeye atabaki na blue card original, mimi copy! nipo mbeya green city!! gari hiyo iwe na uwezo wa kusafiri masafa marefu; kihegam@gmail.com
 
Back
Top Bottom