Muyabi colors
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 2,617
- 3,726
😂NB: ata mtu binafsi wakuu Sina dhamana ila kitambulisho cha nida
Cheti cha form fourNB: ata mtu binafsi wakuu Sina dhamana ila kitambulisho cha nida
Si ndo wamezitaja hizo app nikaenda kutafuta ila holaa😔Kuna threads humu ndani wakopaji wamitandao wamemwaga hacks zote tafuta
Sina mkuu Nina cha la sabaCheti cha form four
Wanataka cha form 4, kiasi Mpaka million 2Sina mkuu Nina cha la saba
Mkuu huko pakubwa mi nataka 20k mpaka 30k basi mkuuWanataka cha form 4, kiasi Mpaka million 2
Sina line hiyoMpawa
Mgodi
Songesha
Hiyo 20k, 300k si ukope hata hapo kwa washikaji zako mtaani? Ama napo huaminikiMkuu huko pakubwa mi nataka 20k mpaka 30k basi mkuu
sio siaminiki mkuu wachzi zangu nawajua wakina na hela utaona tu hawana shidaHiyo 20k, 300k si ukope hata hapo kwa washikaji zako mtaani? Ama napo huaminiki
Wewe yako wasemaUnataka ukope usepe sio....tumekushtukia.... 😠
App Gani? Mkuu riziki yake mtu mkuu acha nijaribu Sina dhamanaUnayatafuta matatizo sio?
App za mikopo mitandaoni ni kichomi utapewa 26K urudishe 40K ndani ya siku 6.
Watakuja kukupa muongozoApp Gani? Mkuu riziki yake mtu mkuu acha nijaribu Sina dhamana
Mkuu naomba sh 5000 ata sh3000 inifae mkuuleoWatakuja kukupa muongozo