Nitapata wapi materials ya advance kwa PCB

Nitapata wapi materials ya advance kwa PCB

texaz mc

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2016
Posts
371
Reaction score
205
Habari JF.
Nisehemu gani naweza pata mterials ya advance comb za science kwa dar? Kama vile ma pamphlet ya walimu maarufu na vitabu pia, na unanishauri ninunue pamph za mwalimu gani na vitabu vya aina gani kw Komb ya PCB.
Nawasilisha.
 
Bookshop zilizo karibu na wewe

Kanunue mavitu haya chand,bs,roger na nelcon..
 
Kwa upande wa Pamphlets za Biology na Chemistry mtafute jamaa anaitwa Josephat( Issue Boy), alikuwa anafundisha tuition Mchikichini(sijui kama bado anaendelea au la).

Au waulize form six waliomaliza juzi hasa waliosoma PCB kuhusu Issue boy watakupa habari zake na watakuelekeza wapi pa kuzipata notes zake
 
Pia kwa upande wa chemistry tafuta pamphets za ngaiza jamaa kaichambua vizuri hasa physical chemistry,pia solve maswali kwenye review ya mzumbe project,..then soma notes za mwalimu wako..hapa utakuwa umejiweka sehemu nzuri ya kupata C kupanda juu
 
Pia kwa upande wa chemistry tafuta pamphets za ngaiza jamaa kaichambua vizuri hasa physical chemistry,pia solve maswali kwenye review ya mzumbe project,..then soma notes za mwalimu wako..hapa utakuwa umejiweka sehemu nzuri ya kupata C kupanda
juu
Ngaiza nimeona kitabu chake kbsa cha physical chem but ni 45k dah ni ghali sana mkuu
 
Tafuta smartphone ya 50000-100000 download app ya thl boom notes zote zipo mikononi mwako..
 
Habari JF.
Nisehemu gani naweza pata mterials ya advance comb za science kwa dar? Kama vile ma pamphlet ya walimu maarufu na vitabu pia, na unanishauri ninunue pamph za mwalimu gani na vitabu vya aina gani kw Komb ya PCB.
Nawasilisha.
Chemistry tafuta pamph za Ngaiza(yupo vzr sana,nilichazitumia sana kipindi nipo advance)
Physics tafuta pamph za Mgote(hapa kidogo panahitaji uvumiliv kweny matumiz,jamaa ana mambo mengi sana kwenye notes zake..100pages topic moja ni kawaida sana), au kama utashindwa tafuta za mudy physics
 
Pia kwa upande wa chemistry tafuta pamphets za ngaiza jamaa kaichambua vizuri hasa physical chemistry,pia solve maswali kwenye review ya mzumbe project,..then soma notes za mwalimu wako..hapa utakuwa umejiweka sehemu nzuri ya kupata C kupanda juu
Yah ngaiza yupo fresh kwenye uandaaji wa notes, kwangu nampa no 1..ukisoma notes zake utasema upo na mtu anakuelekeza. Sikuwah kwenda tuit kwake zaid ya kutumia pamph zake yupo biyee sana
 
Back
Top Bottom