PHILIPP DONIE
Member
- Jul 2, 2013
- 61
- 15
Wadau kwa yeyote anayefahamu wauzaji wa laptops kwa bei ya jumla tafadhali usisite kutupa infirmation.
Natanguliza shukrani wakuu.
Natanguliza shukrani wakuu.
Ok ila nimeuliza nione mahitaji na uwezekano wa kuzileta mwezi wa 3, kwa kawaida huwa naleta simu
Sent using Jamii Forums mobile app