Nitapata wapi injini ya CC200 au cc250 ya pikipiki

Nitapata wapi injini ya CC200 au cc250 ya pikipiki

kindoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2018
Posts
213
Reaction score
218
Wadau, Mimi nipo mkoani natafuta injijni ya pkpk aina yoyote lakin iwe ya kijapan CC200/250, mwenye kufahamu anijuze 0754-218651

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi wa mkoani huwa mnawazarau wanaume wa Dar kuwa mpaka miwa wamenyewe sijui eti hawawezi kula mapapai na ndizi mpaka wamenyewe wakatakatiwe ( fruits ) sasa ujibebe uje ilala utafute mwenyewe
 
Ukiweza nenda Zanzibar ukachague au tembelea mashirika ya kimataifa kama UNDP n.k.
 
Back
Top Bottom