Nitapata wapi gari ndogo ya kukodi?

Nitapata wapi gari ndogo ya kukodi?

Wakumwitu

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
370
Reaction score
82
Ndugu zangu.. najaribu tuu kuangalia kama kuna uwezekano wa kukodi gari kwa matumizi binafsi yaani self drive kwa muda wa mwezi mmoja. Naweza pata wapi na itakuwa kiasi gani kwa siku??? Bila shaka humu sintokosa atakayekuwa anajua.

Jumapili njema.


Tafadhali ukiwa umelewa usiendeshe gari.
 
Du ya nini? tuwasiliane na uniambie unabebea nini? na utaenda Ubalozi gani, au Ikulu lazima nijue route
unaweza beba mke wangu
unaweza beba Bomu
unaweza enda jigonga katika msafara (km Dube wa Morogoro)
 
Back
Top Bottom