Nitapata wapi COMPUTER USED za BEI NAFUU

DATOGA

Member
Nov 17, 2011
82
24
Wadau naomba mnisaidie wapi naweza pata used computers za bei ya chini lakini in good condition, nataka kufungua internet cafe hapo Dodoma. Nataka nianze na kompyuta 10 hivi, i can afford to pay 150,000@. plz help.
 
me ninazo IPA me nauza 250000. full PC desk top plus. flat key nord na mouse 0713935738 zipo
40
 
computer za 150,000 zitakusumbua baada ya muda mfupi, kumbuka rahisi ni ghali pia/ kuanzia 250,000 full set @ computer ni afadhali
 
Sasa 150000 unataka za mbao au??
Na pia specify computer (desktop ama laptop?)
 
1. Uta run programs gani
2. Watumiaji wako ni aina gani?
3. Download zitafanyika?

Gharama ya usafirishaji anabeba nani? Laptops au desktop as usual?

Tunaweza kukusaidia kama ukinyoosha maelezo!
 
Cheap is expensive brother na suport hyo.. Next angalia watumizi ni kina nani ujue capacity ya machine utakazonunua na pia zingatia sana service provider lakn hilo ni kwa huduma zako juwa nzuri ujitangazee
 
Picture 001.png 969442_614256955260129_959379625_n.jpg ...@210,000Tsh....Dell optiplex gx 270,2.8ghz processor,1gb Ram,4ogb hddsk....Mzigo nimetuma kutoka huku U.K,Now unapatikana bongo at shop no 14,msimbazi street, opposite to bigbon petroleum station.walisiliana nasi kwa namba:
Dar:
0715267939/0754267939

U.K :
+447462912558

Thnx..
 
1017193_614257111926780_471181989_n.jpg .260,000Tsh...Dell optiplex gx-620,pentium duo core,4.8ghz processor,1 to 2gb Ram,80 to 120gb Hddsk,DVD writter
 
1. Uta run programs gani
2. Watumiaji wako ni aina gani?
3. Download zitafanyika?

Gharama ya usafirishaji anabeba nani? Laptops au desktop as usual?

Tunaweza kukusaidia kama ukinyoosha maelezo!

one thing about internet cafe za dodoma wengi wanatumia ubuntu na familia ya ubuntu. nakumbuka mara ya kwanza nilipofika dodoma chuo kipindi cha it kompyuta zote ubuntu nkashangaa maana nilikuwa sijawahi itumia. then kuingia mtaani cyber cafe zote nilizopita ilikuwa ni ubuntu tu.
 
Back
Top Bottom