Nitapata wapi card za cdm arusha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitapata wapi card za cdm arusha?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kifulambute, May 11, 2011.

 1. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  jamani wanajanvi nisaidieni niweze kuwa mwanachama wa CDM arusha wapi nijiandikishe na nitapata wapi card za uanachama?
   
 2. n

  ngurati JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nenda namvua plaza karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani jengo liko opposite na jengo la vyoo vya kulipia. Ghorofa ya mwisho juu kabisa ulizizia ofisi ya chadema. karibu kwenye chama makini. uhuru wa kweli ukombozi wa kweli
   
Loading...