Nitapata wapi betri nzuri ya Alcatel TCL S520

Nitapata wapi betri nzuri ya Alcatel TCL S520

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Wadau natumia Alcatel tajwa hapo juu. Battery yake ni ya 1500mAh. Je naweza kupata battery yenye mAh kubwa kuanzia 2000 na kuendelea? Maana ya kwangu nikiwasha internet hata saa 12 haziishi. Ila nisipowasha internet na nisipochat kwa sms inakaa siku 1 na nusu.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom