Ukiwa unatoka mnara wa saa kama unaenda mnazi mmoja,ukifka pale kwenye mataa usivuke,nenda mkono wako wa kulia tembea kma mita 5 hivi pale kuna maduka yanauza vifaa vya baiskeli na hizo engine na baiskeli pia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.