Nitapata wapi albam ya Afande sele Mkuki moyoni

Nitapata wapi albam ya Afande sele Mkuki moyoni

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
793
Nimezikumbuka sana mipini iliyomo mule na hii sikukuu na hii hali tulizo nazo bora tu kujifariji na magoma ya zamani maana hakuna namna.

Mshahara umeingia sawa lakini huo mgawanyo wake naona nabakia tu na kama si sh 630 basi 547 dada deki.
Na january ndo hyo yaja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom