Nitapata uhamisho VETA baada ya kujisajili?

dk luis

Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
20
Reaction score
3
Habarini za saizi wadau wote wa JF nilikuwa napenda wenye uelewa wanielekeze je unaweza ukachukua uhamisho veta Mara tu ya kuanza masomo namaanisha nilifanya mtihani wa usaili mwaka na matokeo hayajatoka kwa sasa natarajia kuhama DSM je nikibahatika kuchaguliwa nikaenda kuomba uhamisho watanikubalia
 
Mkuu unataka kua kati ya wala pweza na chips
 
Mbona kama nasikia matokeo yametoka kwa waliofanya usaili mwaka huu wa kwenda veta mwakani ??
 
Unaweza kuhama kama unapotaka kuhamia patakuwa na nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…