Nitapata mke mwema Jf?

pole sana kwa maumivu ya moyo uliyo yapata mungu atakukutanisha na umpendaye kwa dhati
 

Umenipata mkuu... Hebu tangaza nia fasta!!!!!
 
Je kuna jambo gani lililogumu la kumshinda Bwana?,pia ni vema kuwashirikisha waombaji unaowaamini maana jambo huthibitishwa kwa ushahidi wa watu watatu.

Kweli hakuna la kumshinda.bt kumpata hyo ambae ni wako sio mchezo!kumbuka shetani nae yupo kazini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…