Lio 002
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 436
- 68
Habar wana jf mm ninawazo la kuanzisha biashara yangu ambayo ita husika hasa na kuanzisha timu yangu ya mpira wa miguu na kuimiliki lakini timu yenyewe ni zile za michangani wakuu
jee kama tunavyojuwa biashara yoyote ni lazima kuwe na faida jee kwa mitazamo yenu wakuu kwa umiliki huu wa timu ya mchangani ntapataje faida na mm? Au nifanye vitu gani ili nipate faida kwa umiliki huu wa timu?
Nasubiri michango yenu wakuu...