Nitapambana na mhe Godbless Lema 2015

Nitapambana na mhe Godbless Lema 2015

MWANAWAVITTO

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
258
Reaction score
220
Ndugu wana ARUSHA!

Natangaza rasmi kuwa nitagombea ubunge wa jimbo la ARUSHA MJINI 2015 kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),

huu ni uamuzi wangu binafsi na wa kidemokrasia kwa kuzingatia misingi ya sheria na katiba ya nchi pamoja na ya chama changu,

ninaamini ninazo hoja za msingi, uwezo na kipaji cha kipekee katika kutimiza azma yangu ya kuwatumikia wana Arusha na Taifa kwa ujumla.

Ninaamini ya kuwa, yapo mambo ya msingi sana ambayo yanahitaji uwepo wangu wa moja kwa moja katika kuyafanya na kuyasimamia mwenyewe kwani mtu mwingine hawezi kufanya kwa weledi kama nilivyokusudia mimi.

Natambua mengi mema aliyoyafaya na anayoyafanya Mhe LEMA, lakini pia ikumbukwe uwezo wetu wa kufikiri ni tofauti, anayoyafikiri Mhe LEMA inaweza isiwe ndivyo ninayofikiri mimi,

*NATAMANI KUONA MATUMAINI MAPYA KATIKA ARUSHA NA TAIFA LANGU,

*NATAMANI KUONA FIKRA MPYA NA ZENYE UHAI KATIKA NCHI,

*NATAMANI KIZAZI CHENYE MITAZAMO CHANYA KWA KUMAANISHA,

*NATAMANI KUONA MATOKEO MAPYA NA MATUNDA MEMA KATIKA VIWANGO VYA JUU ZAIDI KWA MAENDELEO YA ARUSHA NA TAIFA ZIMA,

NB: CHANGAMOTO HAI NA ZENYE MANUFAA HULETWA NA KIZAZI KINACHOFIKIRI SAWASAWA, mimi ni mmoja wapo.

Natambua ugumu uliopo katika safari hii hasa ikizingatiwa kuwa Mhe Lema ana wafuasi wengi, jambo hili ninanipa fursa nzuri ya kujiandaa vyema kama ilivyosemwa "BELIEF CREATES THE ACTUAL FACT" ALBERT EINSTEIN.

wenu
MWANAWAVITTO
 
Hicho chama chenu NI DP au TLP?kimeanza lini kuwa na demokrasia ya kukurupuka bila kufuata vikao, na utaqratibu wa chama? Haya ngoja wenyewe wanakuja muda si mrefu. Hata gheto kuna utaratibu wa kula, kulala na kufanga usafi. Katibu kwenye malumbano. TAFAKARI
 
ni haki yako kikatiba,chama kikikupitisha kwenye kura za maoni tutakuunga mkono

Kwanza nikujibu wewe sio lazima kila anayepitishwa na chama lazima umuunge mkono.
Hata hivyo kwa sasa hivi naona Lema anatosha Arusha kama kuna mapungufu unayaona ni vyema ukayatoa sasa hivi ili kwa kushirikiana na Lema tukaijenga vyema Arusha,wewe kama mwana Chadema wa kweli huwezi kuona matatizo then ukae kimya ukisubiri uyatoe muda wa uchaguzi ili ushinde uyatatue wewe hiyo sio siasa bora na sio uzalendo. Bado kuna majimbo mengi ambayo tunayahitaji kuyanyakua kutoka kwa CCM sioni haja ya kujiwekea upinzani sisi wenyewe wakati lengo ni kumng'oa adui.
anyway nimalizie kwa kusema kwamba mleta mada na ccm wenzako au vibaraka wenzako MTASUBIRI SANA!!!!!!!!
 
Hicho chama chenu NI DP au TLP?kimeanza lini kuwa na demokrasia ya kukurupuka bila kufuata vikao, na utaqratibu wa chama? Haya ngoja wenyewe wanakuja muda si mrefu. Hata gheto kuna utaratibu wa kula, kulala na kufanga usafi. Katibu kwenye malumbano. TAFAKARI

"a wise man will be master of his mind, a fool will be its slave"
 
Unamtumikia nani ndugu?
Lazima kuna nguvu yenye mikono ya chuma nyuma yako.

Tujuze ujira wako ni shiing' ngapi na je mtu mwingine akitaka kukununua ili umtumikie kama unavyofanya kwa huyu, unanunulika kwa shiing ngapi?
 
Uchu wa madalaka huna kazi za kufanya kanini, usishilikiane na mhe. Lema kiifikisha arusha unapopataka kaa wewe siyo gamba.
 
Kweli magamba sasa mmekwisha kabisa, kile kitengo cha propaganda hakipo tena. Hivi kwa maneno ya kitoto kama haya mnadhani Wana-arusha watatikisika? Kaanzeni tena ila usiogope boku 7 hizooo kwenye msg fungua hizo hapo...
 
Kwanza nikujibu wewe sio lazima kila anayepitishwa na chama lazima umuunge mkono.
Hata hivyo kwa sasa hivi naona Lema anatosha Arusha kama kuna mapungufu unayaona ni vyema ukayatoa sasa hivi ili kwa kushirikiana na Lema tukaijenga vyema Arusha,wewe kama mwana Chadema wa kweli huwezi kuona matatizo then ukae kimya ukisubiri uyatoe muda wa uchaguzi ili ushinde uyatatue wewe hiyo sio siasa bora na sio uzalendo. Bado kuna majimbo mengi ambayo tunayahitaji kuyanyakua kutoka kwa CCM sioni haja ya kujiwekea upinzani sisi wenyewe wakati lengo ni kumng'oa adui.
anyway nimalizie kwa kusema kwamba mleta mada na ccm wenzako au vibaraka wenzako MTASUBIRI SANA!!!!!!!!

mkuu nakubaliana na wewe kwamba lema kwa sasa anatosha arusha,sisi kama chadema kwa kuonesha ukomavu wakidemokrasia hatupaswi kummbeza mtu yoyote anaeonesha nia yakugombea nafasi yoyote katika uongozi maana ni haki yake kikatiba..chama kina utaratibu wake wakupitisha wagombea na ni kwa kura za maoni,ndio maana nikasema chama kikiona anafaa zaidi kikampitisha basi sisi wapiga kura kwa imani tuliyonayo na chama chetu tutamuunga mgombea mkono,na vivyo hivyo asipo pitishwa awe na uvumilivu wakidemokrasia na aungane na mgombea aliepitishwa kuhakikisha ushindi unapatikana...by the way sina shaka kuhusu ushindi...ushindi ni lazima
 
Jimbo linaongozwa na mgonjwa kajitokeza mwendawazimu sijui nani atashinda kazi kwenu arusha.
 
Kwanza nikujibu wewe sio lazima kila anayepitishwa na chama lazima umuunge mkono.
Hata hivyo kwa sasa hivi naona Lema anatosha Arusha kama kuna mapungufu unayaona ni vyema ukayatoa sasa hivi ili kwa kushirikiana na Lema tukaijenga vyema Arusha,wewe kama mwana Chadema wa kweli huwezi kuona matatizo then ukae kimya ukisubiri uyatoe muda wa uchaguzi ili ushinde uyatatue wewe hiyo sio siasa bora na sio uzalendo. Bado kuna majimbo mengi ambayo tunayahitaji kuyanyakua kutoka kwa CCM sioni haja ya kujiwekea upinzani sisi wenyewe wakati lengo ni kumng'oa adui.
anyway nimalizie kwa kusema kwamba mleta mada na ccm wenzako au vibaraka wenzako MTASUBIRI SANA!!!!!!!!

"1-mimi siyo mwana ccm,
nimekuwa katika harakati za chadema tangu mwaka 2005 jimboni Moshi wakati nipo shuleni, tumepigana tukiwa kundi lililojulikana kama CALAGAS CAMP ambapo tulipigwa vita sana na mkurugenzi wa manispaa ya moshi bibi BERNADETHA KINABO, walichoma CAMP yetu kwa moto sababu ya siasa,
sitasahau mwaka 2007 ambapo askari mmoja wa JWTZ alinizaba vibao kwa sababu tu ya kuitetea CHADEMA na kuipinga CCM,

SIYO HAYO TU, nimewahi kushikiliwa na jeshi la polisi kwa zaidi ya sita na aliyekuwa OCD wa Arusha ndugu ZUBERI MWOMBEJI tukiwa watu watatu pekee,

yapo mengi ya kueleza lakin haya yanatosha,

2-sijazungumzia mapungufu ya Mhe LEMA, wala sijataja neno mapungufu katika mada yangu tajwa, nichozungumza ni utofauti wa FIKRA katika kutatua matatizo, na utofauti huo ni jambo la kawaida.

3-UKOMBOZI WA NCHI HAUTOKI KWA MHE LEMA PEKEE, KILA MTU MWENYE MAPENZI MEMA NA TAIFA ANAWAJIBIKA KATIKA JAMBO HILI
 
Unamtumikia nani ndugu?
Lazima kuna nguvu yenye mikono ya chuma nyuma yako.

Tujuze ujira wako ni shiing' ngapi na je mtu mwingine akitaka kukununua ili umtumikie kama unavyofanya kwa huyu, unanunulika kwa shiing ngapi?

"all that happen in world history, rest in something spiritual. If your spiritual strong you will create world history, if your spiritual weak you will suffer a world history"

SINUNULIKI WALA SINA BEI.
 
Kweli magamba sasa mmekwisha kabisa, kile kitengo cha propaganda hakipo tena. Hivi kwa maneno ya kitoto kama haya mnadhani Wana-arusha watatikisika? Kaanzeni tena ila usiogope boku 7 hizooo kwenye msg fungua hizo hapo...

" usiidharau NAZI, EMBE tunda la msimu"
 
CDM needs more unity than confusion hasa kwa majimbo inayoyashikilia. Tafuta jimbo jirani na hapo. I suggest Monduli....(Suicide mission)
 
Ndg yangu Mwanawavito,

Embe Si haba, kila moja pahala pake yakheee. Tena CDM si ya msimu tena, hicho cha miaka tumeambulia kuliwa tuu na ahadi hewa za kutulaza mlango wazi. Kwan nini bwanaaa
 
CDM needs more unity than confusion hasa kwa majimbo inayoyashikilia. Tafuta jimbo jirani na hapo. I suggest Monduli....(Suicide mission)

"unity?"

sidhani kama unatambua vema ni nini maana ya neno unity. Hapa hakuna confusion kwani confusion inakuja pale tunapoacha kuteteana na kukipigania chama! Hapo ndipo unity ina disappear,
 
Hilo jimbo litarudi ccm, piga ua garagaza. Hutaki unaacha

" a civilization or a nation that continues to produce a soft minded-men purchases its own spiritual dearth into instalment plan" martin luther king jr
 
Back
Top Bottom