Nitaongoza kwa mamlaka yangu!

Nitaongoza kwa mamlaka yangu!

Msabaha lk

Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
84
Reaction score
21
Nimeipenda hii kauli ya huyu jamaa aliyepindua nchi na kudai kuwa ataongoza kama apendavyo kwani katiba ya nchi hiyo ameipiga chini, nadhani kagundua akiifuata nchi itayumba kwani ni kama katiba yetu ambayo hata mwizi wa mabilioni katiba inadai arudishe mwenyewe kabla hamjamshauri astafu kwa manufaa ya umaa. Nimeipenda!
 
Nani huyo? Wa nchi gani?
 
Si hivyo tu,bali hata bunge kalivunjilia mbali!

Hata hapa kwetu yakitokea mimi naona sawa tu!
 
Nani huyo? Wa nchi gani?

Kiongozi wa mapinduzi wa jamhuri ya africa ya kati, jamaa ana mambo kavunja bunge na taasisi zote za serikali na kasema atakuwa rais kwa miaka mitatu huku akiiweka katiba kando. Nilichojifunza kwenye mgogoro huu wa CAR , ni kuwa wafaransa walishamchoka francoise bozize walitaka aondoke so ilikuwa suala la muda.

Kama kuna mkoloni wa zamani ambaye anasimamia maslahi yake kwenye koloni zake za zamani ni ufaransa, hana mchezo , kafanya tricky game CAR lakini pia kaamua kuingia Mali ndani ya muda mfupi. Waingereza nao wakiamua wanaweza kufanya lolote hapa kwetu hasa baada ya huu urafiki wetu na wachina.
 
Mambo ya kupindua serikali yalishapitwa na wakati. Aitishe uchaguzi haraka.
 
Highly appreciated!
 
Mambo ya kupindua serikali yalishapitwa na wakati. Aitishe uchaguzi haraka.

Wananchi wake wenyewe wanamkubali ya kuwa ni jembe; Sasa wewe unaongea kama nani? au ndo utamaduni wa watanzania kujifanya wazee wa busara ilkhali ya kwenu yamewashinda.
 
Nimeipenda hii kauli ya huyu jamaa aliyepindua nchi na kudai kuwa ataongoza kama apendavyo kwani katiba ya nchi hiyo ameipiga chini, nadhani kagundua akiifuata nchi itayumba kwani ni kama katiba yetu ambayo hata mwizi wa mabilioni katiba inadai arudishe mwenyewe kabla hamjamshauri astafu kwa manufaa ya umaa. Nimeipenda!
Safi sana.
 
Ndo ivo tena, hili li katiba letu ndo chanzo cha wezi kuneemeka, watu hawawajibiki na kibaya hakuna hata wa kuwawajibisha, maana hakuna aliyemsafi sababu ya mfumo mzima unaosababishwa na katiba zilizowekwa kwa kulinda maslahi ya watu flani flan. BRAVO Afrika ya kati
 
Back
Top Bottom