Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,489
- 79
Wakuu,
Comp yangu imekuwa kimeo siku hizi ila nilikuwa natumia ESET NOD32 Business edition, na nikaona nibadili na sasa natumia AVG internet security. Baada ya kuscan PC yangu dah imefuta (back-ups zangu) ".exe" zote ambazo zilikuwa na keygen (inasema ni trojan) na pia inaniambia kwamba eti kuna tracking cookies ambazo ni hatari kwa PC yangu.
Naombeni msaada hizi tracking cookies ndiyo inamaanisha kwamba hackers wananichungulia katika PC yangu au ni vipi? Na je kuna namna ya kuzitoa manake hapa sioni option ya kuzi-clear!
Asanteni!