deepsea
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 3,287
- 947
uzeeni utakuwa na kisukari na ndio utawapata wengi coz wanajua hautakuwa na miaka mingi ya kuishi
Ngoja nikae kinywa mie
uzeeni utakuwa na kisukari na ndio utawapata wengi coz wanajua hautakuwa na miaka mingi ya kuishi
Sipati picha binti zako wakiposwa na malofa...utakavyokuwa..mama mkwe kisirani
sio ujana ukutafune wewe?
akiwa ka Mengi hata mie atanipata lols
Nitawashauri kama mzazi.....
Sihitaji waolewe na matajiri ila na wanaume wachapakazi, wenye vision na mision.... wawajibikaji na nawaombea wapate wanaume wenye adabu, kujali, heshima na upendo wa dhati.
Na sio walete wanaume hawaeleweki nikaishia kulea wajukuu.... badala ya kupunguza matatizo unaongezewa matatizo. Ulee mtoto, ulee mjukuu mwisho wa siju utalea baba mtoto nehi nehi nehi..

Heri umekuwa mkweli ndani ya nafsi yako maana mwanamme anatakiwa kuoa baada ya ujana kuisha yaani uzee unapoingia. Tatizo vijana wanaoa wangali bado vijana. Ndio maana ndoa zao hazidumu (bado wanasumbuliwa na matamanio).
Bora ya mbili bila kukesha kuliko sifuri ya kukesha library dada zangu msipobadilika hatutaoa tena abadani