na wewe usifikiri kila aliepo hapa jamvini anajiuza mi nina thamani kubwa sana pesa uliyonayo changanya na za ukoo wako bado hazitoshi sawa eeeeh
Kwani suala la kujiuza limeanzia wapi? Hakuna liyesema kuwa unajiuza, mimi nimeuliza maswali kutegemea na majibu ya Heaven on Earth. Sema wewe umedandia train kwa mbele. Anyway samahani kama hivyo ndo ulivyonielewa.
Last edited by a moderator: