Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Sasa na wewe si utakuwa mzee wakati huo...!?
nna 10 years sasa
Sasa na wewe si utakuwa mzee wakati huo...!?
nna 10 years sasa
Hakuna unachokwepa! Wanawake hao hao ambao mmojawapo utamuoa ukishakuwa mzee nao wanasema 'wataolewa uzeeni', ngoja wale ujana kwanza! Ngoma droo!Kweli kwa sasa wanawake ni changamoto, nitaoa uzeeni niacheni nile ujana nimechoka.......
Unahesabu kuanzia wapi? Tangu umevunja ungo, umemaliza std seven, A-level, Collage, tangu ulivokutana na mpenzi wako wa kwanza, au tangu umejifungua mtoto wako wa mwisho......!? Fafanua tafadhali.
pata pesa then explanation zote utapata.
una hakika na nguvu zako uzeeni?
atasaidiwa na mikongojouna hakika na nguvu zako uzeeni?
pata pesa then explanation zote utapata.
hahaha asikuchoshe na maswali wakati waleti haisomi
hahaha asikuchoshe na maswali wakati waleti haisomi
Usilolijua............ Kama issue ni wallet kusoma, we sema unahitaji bei gani?
anamchosha Bey.... hana lolote
Uwe na hela.....
Usidhani mabinti wanapenda wazee kapuku...hela hana game poor
we unazo ngapi kwanza
Swala siyo ninazo ngapi, wewe sema bei yako ngapi? Unajua nyie madem wa hapa mnafikiri kila aliyepo hapa jamvini bado anamaisha ya kuungaunga. Usimdharau usiemjua.
na wewe usifikiri kila aliepo hapa jamvini anajiuza mi nina thamani kubwa sana pesa uliyonayo changanya na za ukoo wako bado hazitoshi sawa eeeeh
akiwa ka Mengi hata mie atanipata lols