Nitanufaikaje kwa kuanzisha website

Nitanufaikaje kwa kuanzisha website

Gene

Senior Member
Joined
May 2, 2012
Posts
192
Reaction score
33
WanaJf je ninawezaje nufaikaje nikiwa na website/wapsite/blog yenye zaidi ya hits/visitors 1000 per day.... Msaada wenu please kwa walio na ujuzi wa mambo haya
 
-website yako ina top level domain?
-ni ya simu au pc
-upo nchi gani
-maudhui ya website ni yapi

nijibu hayo kwanza.
 
-website yako ina top level domain?
-ni ya simu au pc
-upo nchi gani
-maudhui ya website ni yapi

nijibu hayo kwanza.

WEB NAYOTAKA KUANZISHA IWE NI YA PC PIA NA MOBILE version..

Nipo hapa hapa Tanzania


Maudhui ni kuprovide mambo ya kijamii, music, elimu ya mapenzi(kitchen party)... Application za simu and much more... Kwa kifupi mambo mchanganyiko

Natak kuchukua .com vipi utaratibu hapa
 
mkuu i thought hiyo website tayari ina traffic ya watu 1000 per day kumbe bado haijaanzishwa.

Kampuni ya matangazo inayolipa vizuri inaitwa google adsense lakini hawa jamaa wanataka uwe na top level domain na reputation ya kutosha. So nafkiri idea yako hutaqualify hapa.

Kwa simu kampuni za matangazo zipo nyingi chache ni hizi

-mobpatner. Hawa wanatoa matangazo na matangazo maarufu ni yale ya kudownload apps za android na iphone. Yaani wanakupa tangazo la application fulani kila watu wakiidownload na wewe unalipwa lakini tatizo unakuta hizo apps hazilengi nchi ya tanzania. Atlest kenya zipo ina maana utatakiwa usiwe na user wa kitanzania pekee. Wanalipa kuanzia usd 30

. ADMOB.COM . Minimum Payout: $20 . Payment Option: PayPal, US Dollar Check

. INMOBI .COM (Mkhoj.Com) . Minimum Payout: $25 . Payment Option: PayPal, Bank Transfer .

BUZZCITY .COM . Minimum Payout: $200 . Payment Option: PayPal, WebMoney, Bank Transfer

. ADMODA.COM . Minimum Payout: P100 . Payment Options: ePassporte, Bank Transfer

. ADULTMODA .COM . Minimum Payout: P100 . Payment Option: ePassporte, Bank Transfer

. SMAATO .COM . Minimum Payout: $100 . Payment Option: PayPal

. WEBMOBLINK .COM . Minimum Payout: $100 . Payment Option: PayPal, Check


. MOJIVA .COM . Minimum Payout: $100 . Payment Option: PayPal, Check

. MOBGOLD .COM . Minimum Payout: $50 . Payment Option: PayPal, Bank Transfer

. DECKTRADE .COM . Minimum Payout: $50 . Payment Option: PayPal

kwa blog kuna bidvertiser
 
Thanks mkwawa... Nilikuw na wapsite ila nimeipumzisha kidogo.. Nataka kuifufua tena
 
Back
Top Bottom