Nitamwachaje Huyu binti?

acha ujinga chalii, usicheze na hisia za mwenzako.
 
Nimefurahi kuona mwanaume/mwanamke mwenye msimamo na mwenye uelewa wa uhalisia wa mambo!!
 
Nimefurahi kuona mwanaume mwenye msimamo na mwenye uelewa wa uhalisia wa mambo!!

Unajua mimi49 ukianza kuangalia chanzo cha umaskini wetu mwingi unasababishwa na ujinga tena wa mahusiano mijitu inachekacheka tu ooooh nakupenda ohhhh I love you kinachofuata hapo ni kitanda sasa kwakuwa ilifanya kwa tamaa na mihemko ya mwili yakija matokeo inaanza kuhamaki ndo maana watoto wa mitaani hawaishi kila kukicha wale watoto wamezaliwa wao hawakupenda ila kwakuwa mijitu iliyowazaa ilitaka kujifurahisha tu na haikuwa na shida ya watoto basi watoto wanabeba resppnsibility falsafa ya mapenzi waafrika wengi ina maana ya ngono na si vingenevyo
 

hapa ndo napoipendea jf. kwa kumbukumbu tu watu wapo makini
 
km ulijua bado upo upo ulimtaka wa nn?...huu ndo ujing mwingine, kwahyo huyo ukimtenda unafikiri atawaonaje wanaume?wanaume wengine bana sijui wakoje
 
Aliumwa kwa muda tu hospitali wakasema aachwe anaumwa ugonjwa wa mapenzi...ha ha ha alikuwa sawa!

na mimi nataka nikupende mpaka niugue huo ugonjwa wa mapenzi, are you ready?
 
km ulijua bado upo upo ulimtaka wa nn?...huu ndo ujing mwingine, kwahyo huyo ukimtenda unafikiri atawaonaje wanaume?wanaume wengine bana sijui wakoje
Kwani da maria pia, mpaka unafika leo hii ulishatakwa na wangapi? Je hao wote walokutaka walikua na nia ya kukuoa kweli?
 
acha ujinga chalii, usicheze na hisia za mwenzako.
Sitaki cheza nazo kabisa ndo mana nimekimbilia humu JF ili nipate solution ya nijinasueje kabla mambo hayajawa mabaya kabisa.
 
Ntarudi.. hii mad nzuri sana. nikute na picha yake ili nichangie vizur.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…