Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Wanaume wote wangekuwa na fikra kama zako wewe...the world could have been a better place!!Bwana mdogo kumbuka hayo unayotaka kumfanyia mwenzio ipo siku na wewe utakuja kufanyiwa na wanawake na utajuta kuzaliwa, sio tabia nzuri ya kuumiza wenzio bila sababu ya msingi. Shukuru sana Mungu wako amekupatia mwanamke anayekupenda toka moyoni, haijalishi hali yake ya uchumi, elimu yake na rangi yake, unachotakiwa kukifanya komaa na huyo binti dogo acha kuhangaika na wanawake hawa kwani utakuja kuishia pabaya na hutokuja kupenda tena
Kumbe mnajijua ehhhh!!!Kweli umeongea kitu cha maana sana, sie wanaume tukipendwa huwa tunavimba sana kichwa na kujiona kwamba sie ni mahandsome sana, tunakuwa na nyodo kuliko hata wanawake
mwambi ukweli tu humtaki...unaweza uporomoshewe matusi au kipigo lkn si mbaya kwa siku moja lol...Ukitaka cha mvunguni shurti uiname....
No aisee sijafikia stage hio!!Ila nina ndugu wa karibu alienda wendawazim kabisa!!
Kumbe mnajijua ehhhh!!!
Aliumwa kwa muda tu hospitali wakasema aachwe anaumwa ugonjwa wa mapenzi...ha ha ha alikuwa sawa!aseee nduguyo akawa chizi kabisaa kwa sababu ya mapenzi au kwa sababu nyingine?:A S-confused1:
Ajiue kwaajili ya kupenda??wangekufa romeo na juliet kwanza....tungeshakufa wengi aisee!!
Mimi49 sio simple kiasi hicho tatizo watu huja kuomba ushauri maji ya kishamwagika lakini alipotaka kuyachota hakuomba ushauri ayachote kwa style gani na kwa kiasi gani tatizo la kuchukulia mahusiano kama maigizo wakati ni kitu halisi unapotaka kumwacha mwenzio jifikirie ingekuwa ndo wewe umempenda mtu ila ye hakupendi na anatafuta gear ya kukubwaga jifikilie ambavyo ungeumia au utaumia vipi ndivyo ilivyo kwa mwenzio tuache usanii kwenye mapenzi hili taifa haliendeleii sababu ya watu kuleta mizaha katika mambo yasiyo ya mzaha tubadilikemwambi ukweli tu humtaki...unaweza uporomoshewe matusi au kipigo lkn si mbaya kwa siku moja lol...Ukitaka cha mvunguni shurti uiname....
Ameshalikoroga alinywe sasa!!!Ndio inabidi aface reality!!!Mimi49 sio simple kiasi hicho tatizo watu huja kuomba ushauri maji ya kishamwagika lakini alipotaka kuyachota hakuomba ushauri ayachote kwa style gani na kwa kiasi gani tatizo la kuchukulia mahusiano kama maigizo wakati ni kitu halisi unapotaka kumwacha mwenzio jifikirie ingekuwa ndo wewe umempenda mtu ila ye hakupendi na anatafuta gear ya kukubwaga jifikilie ambavyo ungeumia au utaumia vipi ndivyo ilivyo kwa mwenzio tuache usanii kwenye mapenzi hili taifa haliendeleii sababu ya watu kuleta mizaha katika mambo yasiyo ya mzaha tubadilike
Hata mimi sipendi, Na ninajutia hili, na linaniuma sana. Ndio maana nataka ku stop swala hili. Tatizo ni jinsi ya kuachana
Mnakeraga sana nyie
Ameshalikoroga alinywe sasa!!!Ndio inabidi aface reality!!!
ulimtamanieeee!!
ngoja utasikia habari yake sasa, ukome kuchezea watoto wa watu. Habanduki ng'o na kifuatacho ni kijusi.