Nitamwachaje Huyu binti?

kwani wakati unaanza kumtongoza hukujua kama bado upo upo? au ulikuwa unapima maji kwa kichwa?
 

.................... Uli date na yeye wa nini kama ulikuwa bado upoupo?
 
Siwapendi watu wanaochezea hisia za wenzao!
Kwa uelewa wangu mdada ndo anachezea hisia za mwenzake.Mwenzie hana nia yeye anamkomalia yaani mtu kaDipu yeya anapiga wakati ilikuwa wrong number!
 
Siwapendi watu wanaochezea hisia za wenzao!
Kwa uelewa wangu mdada ndo anachezea hisia za mwenzake.Mwenzie hana nia yeye anamkomalia yaani mtu kaDipu yeye anapiga wakati ilikuwa wrong number!
 

nipe no. yake
 

unajifanya player eeh ..hujakutana na makocha wewe...
 
We ulimpenda au ulimtamani?Fanya umuoe huyo binti
 
Hata mimi sipendi, Na ninajutia hili, na linaniuma sana. Ndio maana nataka ku stop swala hili. Tatizo ni jinsi ya kuachana nalo.

achana nae kama ulivyoanza nae.
 
mimi nimeelewa kuwa na wewe kuna nyakati ulishataka kujitoa roho kwasababu ya mapenzi ila ukapata:help:
No aisee sijafikia stage hio!!Ila nina ndugu wa karibu alienda wendawazim kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…