Nitamwachaje Huyu binti?

Nilivyomtongoza nilimtamani kama wanaume wengi wanavyotamani, na kama ujuavyo wadada wanakuaga wagumu so watakiwa ongeza na uongo flani na ikibidi ahadi fulani ili akukubalie. Sasa hebu nishauri ndugu nijiachanishe vipi basi mana nahisi sielewielewi.
 
Nilivyomtongoza nilimtamani kama wanaume wengi wanavyotamani, na kama ujuavyo wadada wanakuaga wagumu so watakiwa ongeza na uongo flani na ikibidi ahadi fulani ili akukubalie. Sasa hebu nishauri ndugu nijiachanishe vipi basi mana nahisi sielewielewi.

naomba usiwe mbinafsi kwenye suala la mapenzi , maadam ulitamani na ukamweleza kwa kumdanganya na ukweli basi yakupasa uendelee na mahusiano nae .. huwezi kumwacha mwenza mradi tu umelala umeamka na umkatae yapasa uwe na sababu za msingi za kumwacha .. haya mambo ya hit and run yana madhara kwa upande mwingine
 
mkipendwa..oohhh anakaba mpaka penalt
msipopendwa...oohh..wanawake wa siku hizi hawana mapenzi ya kweli!
sijui wanaume wengine mkoje
Kweli umeongea kitu cha maana sana, sie wanaume tukipendwa huwa tunavimba sana kichwa na kujiona kwamba sie ni mahandsome sana, tunakuwa na nyodo kuliko hata wanawake
 
kaa ukijua kilio cha huyo binti lazima hakitapotea bure! ndio maana mnalaanikaga washangaa unamuacha kasha kila unayemtokea anakukataa au unaoa then ni majanga matupu! kuwa makini na haya mambo ndugu yangu..jaribu kumuweka wazi mpango wako huo ili usizidi kumpotezea muda wake, hiyo kujiua sidhani km atakuwa anamaanisha!pole lakini!
 
Bwana mdogo kumbuka hayo unayotaka kumfanyia mwenzio ipo siku na wewe utakuja kufanyiwa na wanawake na utajuta kuzaliwa, sio tabia nzuri ya kuumiza wenzio bila sababu ya msingi. Shukuru sana Mungu wako amekupatia mwanamke anayekupenda toka moyoni, haijalishi hali yake ya uchumi, elimu yake na rangi yake, unachotakiwa kukifanya komaa na huyo binti dogo acha kuhangaika na wanawake hawa kwani utakuja kuishia pabaya na hutokuja kupenda tena
 
kwa kweli inaboa sana kama alikuwa anajijua yupo yupo sana alimseduce dada wa watu ili iweje?

copy matatiz.
Siwapendi watu wanaochezea hisia za wenzao!
 
Last edited by a moderator:
nayaani mradi tabu tupu
Kweli umeongea kitu cha maana sana, sie wanaume tukipendwa huwa tunavimba sana kichwa na kujiona kwamba sie ni mahandsome sana, tunakuwa na nyodo kuliko hata wanawake
 

mi nasubiria siku huyo binti akinyinyonga tu Haraka sana nakutupa lupango kwa kesi ya mauaji
 
Sasa hebu nishauri ndugu nijiachanishe vipi basi mana nahisi sielewielewi.

Mimi kwa sasa nakushauri uje tu huku kwetu Sumbawanga....

Kuna dawa babu yetu mmoja anaitwa Mzee Sikarumba atakupa...

Dawa hiyo itabadilisha kifanyio chako kuwa KE kwa muda...

Ukirudi home utamuonesha huyo mchuchu kuwa maumbile yako yamebadilika hivyo huwezi kuishi naye tena...

Baada ya mwezi hivi kifanyio chako cha ME kitarudi tena....

Lakini masharti ya hiyo ndumba ni kwamba hutakiwi tena kudanganya wanawake...

Ukidanganya tu basi ujue kifanyio cha KE kinarudi 'pamanenti'....
 
hapo ulikosea sana kaka, u should hav told her in the first place kuwa no trings attached.., ajue mnakamuana tu basi! akisepa asepe mapema tu. sasa unalo... mtoe out sehemu tulivu na mtonye kuhusu hisia zako kwake. hakikisha anakuelewa kabla hamjaachana! even if it takes two days upo nae!
 
Hata mimi sipendi, Na ninajutia hili, na linaniuma sana. Ndio maana nataka ku stop swala hili. Tatizo ni jinsi ya kuachana nalo.

Kama kweli linakuuma na unajutia, kaa nae umweleze ukweli wote tena taratibu ili aweze kuondoa matumaini yoyote aliyonayo kwako. Pia muombe radhi kwa kumpotezea muda na kumuumiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…