ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,628
- 4,970
Basi katika pitapita zangu si nikakaona binti flani mtaani, nikamtamani nikamtokea, akanikubalia mahusiano yakaanza. ukweli ni kwamba bado niponipo sanaa afu hata mipango hiyo sina. Sasa yeye si ndo anashikia bango. yaani anakabaje! Sasa kila nikijaribu kumfanyia cheating ili aniache wapi. badala yake hunambia "una roho yangu wewe". haka kausemi afu ukizingatia ni wa kulekule uheheni kananifanya ninywee,
Hebu nisaidieni wadau njia ipi niitume kujinasua na binti huyu?
Hebu nisaidieni wadau njia ipi niitume kujinasua na binti huyu?