ni mda mrefu tangia 2anze mahusiano yetu lakini napatwa na wasiwasi juu ya mwenzangu kila ninalofanya yeye haoneshi kama anakereka nalo au kuonesha reaction yoyote. Naombeni ushauri wenu, nitamuamini vipi kama ananipenda?

huwezi pima kipimo cha upendo kwa kuhusanisha na jambo..ambalo umetendewa..u just know it deep in ur heart either unapendwa au laa..ukiwa na doubts ni vizuri zaid coz..itakufanya ume mguu ndani mguu nje incase mabo yameenda vibaya..sababu hata kivuli chako hujitenga na wewe saazingine sembuse binadamu...?
ni mda mrefu tangia 2anze mahusiano yetu lakini napatwa na wasiwasi juu ya mwenzangu kila ninalofanya yeye haoneshi kama anakereka nalo au kuonesha reaction yoyote. Naombeni ushauri wenu, nitamuamini vipi kama ananipenda?
BASAM...kuwa mwazi msg yako iko kwenye fumbo! unamkera kivipi? kuna kero nyingine m2 anaweza kuzivumilia na akaepusha ugomvi usiokuwa na sababu! namaisha yakaendelea! mtoto kafundwa huyo!!....