Nitamtokeaje huyu Msichana?

mahondaw ulimtongozaga mbele za watu mkuu Smart911


Umeshaelewa alichokushauri lakini???

Nadhani ni vizuri tukamaliza kwanza shida yako .....

About mahondaw and Smart911 tuachie sisi hatujaja kuomba ushauri wala hatupo kwenye interview zenu za kutafutiana kiki kha kha khaaaaaa

Ni maoni yangu tu
As you know opinions are not facts

Cc Smart911
 
Hahaha... Interview za kutafutiana kiikii... Unawaza mbali mahondaw wangu... Such a smart and brilliant young lady...


Love you mahondaw wangu...
 
Kwa barua utasubiri sana mkuu,foward mzur ni yule anayejaribu kupiga shoot hata akiwa katikati ya mabeki 4,jaribu kushut hata kama utagongesha kwny mtambao panya goli keeper ataanza kukuelewa vzr
 
Ndugu, komaaa we ni mtoto wa kiume bhana nenda mazeee kadake namba afu malizana nae, amaaaa!!!
 
Sawa mwandikie barua kama unataka kuongea naye. Kama unaweza mpe na SIMU hata ya bei nafuu kabisa na umuwekee line halafu umpigie.
 
Ungerudi kesho yake useme lile embe ulilokula jana limesababisha tumbo kuuma sana wala hukulala unaomba uongee na aliyekuuzia.
haahahah Sky Eclat we ni mjanja sana, una mbinu, sikuwaza kabisa hiyo mbinu,ila ni viable!!
 
Hahaha... Interview za kutafutiana kiikii... Unawaza mbali mahondaw wangu... Such a smart and brilliant young lady...


Love you mahondaw wangu...

Love you more Smart911 baby ake na mahondaw

Kuna theory moja sikumbuki sijui ni ya nani inasema
"when two stimulus are repeatedly paired together stimulus one starts to acquire properties of stimulus two"

And I'm always paired together with a genius man Smart911 a.k.a Julian the king what do they expect hahahaah. ..
 
Ungerudi kesho yake useme lile embe ulilokula jana limesababisha tumbo kuuma sana wala hukulala unaomba uongee na aliyekuuzia.
hivi mdada anapokupa namba yake ya simu afu ukimpigia hapokei,sms hajibu humanisha nini mkuu?
 
Mkuu unaonekana mpole saana. Hata kutania tania hauwezi? Tania tania then na yeye atafungua mdomo zaidi ya alivyo sasa. Ukishafanya hivyo inakuwa rahisi hata kuchukua namba ya simu
mkuu wengne hata ukichukua namba response inakuwa zero kabisa hadi unajuta kwanini uliichukua
 

mahondaw wangu.. ukikaa karibu na uwaridi lazima na wewe unukie... love you sana...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Hahaha... umeandika barua?

Like "nikinywa maji nakuona kwenye glass, usiku silali nakuota.. nakupenda kama mchuzi wa kuku"

Kila la kheri mkuu... nimekumbuka swaga zangu za barua enzi hizo.. noma sana
Kuna maneno umesahau kama NYONGO MKALIA INI.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…