SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
So what??🤣🤣🤣🤣🤔🤔Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Piga Kura kwa Mgombea wa CCM tu.S
So what??🤣🤣🤣🤣🤔🤔
kweli tupu!!!👿Kura ni Siri
Ccm haitegemei kura.Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Utakuwa umepigia kura umasikini,ufisadi, utapeli na ujinga.Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Usalama na Polisi tayari wana marokeo kura yako ni bure 😂😂🤮Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Kwann iwe Siri yangu?Sawa ni wewe utapiga,,, iwe siri yako unataka na sisi tukampigie au, tunajua mwenzetu upo kwenye payment