Jamani huyu dada kanivutia sana hata kama hatanipa tamu basi hata story tu nakuzimia sana tafadhali nakupataje? Natamani ungekuwa wangu wa kila siku
oooh! swiri hati........you are missed here too.
ha ha...nasinzia nikikuwaza......m vere vere....mic you
Jamani huyu dada kanivutia sana hata kama hatanipa tamu basi hata story tu nakuzimia sana tafadhali nakupataje? Natamani ungekuwa wangu wa kila siku
mimi ni wewe tu ambaye huwa najiuliza nitakuonaje.......unaniuaua
Usidanganywe picha (avatar). Rose mwenyewe kasha fikia menopause. Mie nilikuwa na hamu kama wewe, lakini nilimuona nikampa shikamoo yake.
Acha wivu wewe! Kwani mwanamke akifikia menopause anapoteza u-dada?
Hesabuuuuuuuuuuuuuuuuu ni nzuri sana eeeeeeeeeeeh,mwl nifundishe nipate kuelewa,eeeeh mwl nifundisheeeeeeeeeeeeeee. A for apple,b for boy c.........
Angalia sana ndugu yangu huyo Rose 1980 si mdada hiyo ni ID tu, huyu jamaa namfahamu ni jibaba moja limejazia kifua tena inasemekana lina katabia fulani ka mombasa nakushauri usimtafute itakula kwako.
aaaaaaaaah weweeeeeeeeeee acha kumkatisha tamaa yy kachapenda yuko tayari kwa motokea
Ila jiandae kwa matusi, labda ukute siku hiyo mfungo mosi haujaanza maana ni mtambo kwelikweli huyo
haswa awe bajaji, au bibi mzee mi nshakubali
Angalia sana ndugu yangu huyo Rose 1980 si mdada hiyo ni ID tu, huyu jamaa namfahamu ni jibaba moja limejazia kifua tena inasemekana lina katabia fulani ka mombasa nakushauri usimtafute itakula kwako.
aaaaaaaaah weweeeeeeeeeee acha kumkatisha tamaa yy kachapenda yuko tayari kwa motokea
Mbona hataki kuja au kaniogopa, jamani rose1980 mi ni wakawaida sana
Ila jiandae kwa matusi, labda ukute siku hiyo mfungo mosi haujaanza maana ni mtambo kwelikweli huyo
Acha wivu wewe! Kwani mwanamke akifikia menopause anapoteza u-dada?
nimekuja jaman aujaniona>?
Ahh mshemga michelle sjui yuko wap akushtue km nipo apa msimbaz police tangu saa 8