Nitampataje? nipeni mbinu wadau

Comfucious pedagogy

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
211
Reaction score
39
Za mwaka mpya?Niko na shida moja inasumbua mimi ni mfanyakazi ila sasa baada ya kupata kazi nahitaji mwenza tatizo ni kwamba sehemu nilipo ni mgeni kabisa na wanawake wapo ila siwajui background zao tena ni huku kanda maalumu so kila nikifikiri napata wakati mgumu.
 
Zaidi ya kuwatongoza hakuna njia nyingine ya kuwapata......au hata kutongoza huwezi mkuu.......?????????
 
Jichanganye na masela wa mtaani kisha uulizie background za hao unaowataka.
 
Unapofanyia kazi hujaona kitu, mtaa unaoishi je hamna sketi hata moja na unapopatia soft drink kote huko kama hujaona chukua hata baa maid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…